" I har fået det for intet, giv det for intet " (Matt 10:8)

HJEM  |  OVERSIGT  |  KONTAKT  |  HJÆLP    
Bibelstudier Gratis Kristne Bøger Gratis Kristne e-Bøger Om Os
 Helt GRATIS Trykte Bøger
- Swahili udgave # 2

 


Irudie Injili ya Maji na Roho

 

Dokezo

Kitabu hiki kitawaongoza ninyi nyote katika baraka ya jabu katika ulimwengu wa injili ya maji na Roha na hata kubadili maisha yenu .

Maelezo ya Kina

Nahakika uhasili ndiyo unao amua thamani ya msingi katika vitabu ambavyo si vya hadithi za kufikirika. Hivyo basi vitabu vyetu vyote ni vya asili. Ni vitabu vya kwanza katika kipindi chetu kuweza kuweka bayana juu ya ubatizo wa Yesu kwa Yohana Mbatizaji. Hapo awali hapakuwepo na sikukuu ya Krismasi takriban karne mbili zilizo pita wakati wa Kanisa la mwanzo. Wakristo wa Kanisa la mwanzo pamoja na Mitume wa Yesu waliweza kuadhimisha siku ya Januari 6 kuwa ni siku ya Kubatizwa kwa Yesu katika mto Yordani na Yohana Mbatizaji. Kwanini wali weka msisitizo mkubwa juu ya ubatizo wa Yesu katika imani zao? Vitabu vyetu vinatoa jibu sahihi kwa swali hili. Na jibu lake ndiyo ufunguo halisi katika Ukristo wa Utume wa Hasili. Wazo kuu la vichwa vya habari ni kuingia kwa undani katika siri ya Ubatizo wa Yesu na injili ya maji na Roho. (Yohana 3:5). Si swala la upande mmoja katika Ukristo bali ni kiini kinacho wahusu Wakristo wote. Vichwa vyetu vya habari ni asilimia mia moja (100%) kibiblia na kiuhakika, hivyo kuhamasisha Wakristo wa kawaida kuelekea katika mwamko wa injili ya maji na Roho. Ujumbe wa kitabu hiki utakuwa ni chombo cha masahihisha kwa wale wote wanao tafuta ukweli wa Biblia.

Kutoka kwa Mchapishaji

Paul Jong amehubiri injili ya maji na Roho duniani pote kwa takriban miongo miwili. Pia amechapisha dazani za vitabu vizuri vya Kikristo katika lugha kadhaa kama vile Kirusi, Kichina na Kijapani. Ujumbe wake una nguvu na ni wakiroho ambao wengi wa wasomaji wa vitabu vyake wamevipenda na kuweza hata kutuwa dhambi zao. Vitabu vyake kwa hakika vitawaongoza watu wote kuweza kuzaliwa upya mara ya pili. Hiki ni kitabu cha kwanza kwa nyakati zetu kuhubiri injili ya maji na Roho kwa makini kulingana na maandiko.


 

 
Free Christian Books
    Trykt Bogliste
    Swahili udgave 2
 
 • Om denne bog
 •  
 • Indholdsfortegnelse
 •     Om gratisbøger service
      Hvordan bestiller man gratis bøger
      FAQs
  Se
  Kurv
   

     
  Copyright © 2001 - 2019 New Life Mission. Alle rettigheder er forbeholdt.