Aufgrund von COVID-19 und der Unterbrechung des internationalen
Postdienstes haben wir unseren "kostenlosen Druckbuch-Service" vorübergehend eingestellt.
Angesichts dieser Situation können wir Ihnen die Bücher derzeit nicht zusenden.
Beten Sie, dass diese Pandemie bald endet und der Postdienst wieder aufgenommen wird.
1-13. Ni ipi ilikuwa sadaka ya upatanisho wa dhambi za mwaka katika Agano la Kale?
Ilikuwa ni sadaka ya upatanisho kwa mwaka iliyo yenye thamani kwa Israeli yote kwa pamoja Kuhani Mkuu aliweka mikono yake juu ya kichwa cha mbuzi na kumtwika dhambi zote za mwaka za watu wote wa Israeli kwa mara moja (Walawi 16:1-34). Yesu Kristo alikamilisha sadaka ya siku na ile ya mwaka mzima alipokuwa mwanakondoo wa Mungu aondoaye dhambi zote juu ya kichwa chake kwa ubatizo wake.