" Freely you have received, freely give " (Matthew 10:8)

HOME  |  SITEMAP  |  CONTACT US  |  HELP    
  Free eBook Version of Swahili edition 1

 


Je, umezaliwa upya kweli kwa maji na kwa roho?

 • Electronic Book Format : MS Reader
 • Current Downloads : 578
 • About this book
 • Table of Contents
 

Dokezo

Kitabu hiki ni cha kwanza katika nyakati zetu za kuhubiri 'Injili ya Maji na Roho' kwa umakini kupitia Maandiko.

Maelezo ya Kina

Kichwa cha habari cha somo ni "kuzaliwa upya tena katika Maji na Roho". Huu ni uhalisi wa somo lenyewe. Kwa maneno mengine, kitabu hiki kwa uwazi zaidi kinatueleza nini maana ya kuzaliwa upya na namna ya kuzaliwa upya katika Maji na Roho kupitia Biblia. Maji yanasimama badala ya ubatizo wa Yesu katika mto Jordani. Na Biblia inasema kwamba dhambi zetu zilitwikwa kwa Yesu pale alipo batizwa na Yohana Mbatizaji. Yohana alikuwa muakilishi wa wanadamu wote na uzao wa Kuhani mkuu Haruni. Haruni aliweka mikono juu ya kichwa cha mnyama wa sadaka na kumtwika dhambi zote za mwaka za wana wa Israeli katika Siku ya Upatanisho. Ni kivuli cha mambo mema yatarajiwayo. Ubatizo wa Yesu ni uakisi wa kuwekewa mikono. Yesu alibatizwa kwa namna ya kuwekewa mikono katika mto Yordani. Hivyo alitwikwa dhambi zote za dunia kwa ubatizo wake na alitundikwa msalabani kwa malipo ya dhambi hizo. Lakini wakristo wengi hawafahamu kwanini Yesu alibatizwa na Yohana Mbatizaji katika Mto Yordani. Ubatizo wa Yesu ni neno la ufunguo wa kitabu hiki, na ni sehemu ya Injili ya Maji na Roho isiyo puuzwa. Tunaweza kuzaliwa upya ikiwa tu, tutaamini ubatizo wa Yesu na Msalaba wake.

Kutoka kwa Mchapishaji

Mchungaji Paul C Jong ni mhubiri wa Injili ya Maji na Roho duniani pote kwa zaidi ya miongo miwili. Pia amekwisha andika zaidi ya nyaraka 50 za vitabu vya mafundisho ya Kikristo na kutafsiriwa kwa zaidi ya lugha kuu 50.Hakika ujumbe wake unanguvu, ni wakiroho kwa kila msomaji wa vitabu hivi katika kuzaliwa upya na kumpokea Roho Mtakatifu. Tunahakika kuwa hiki ni kitabu cha kwanza kwa nyakati zetu kuhubiri Injili ya Maji na Roho kwa umakini na kwakupitia maandiko.


 
Free Christian eBooks
    eBook List
    Swahili edition 1
 
 • About this book
 •  
 • Table of Contents
 •     What is eBook?
   
 • About eBook
 •  
 • How to read an eBook?
 •  
 • FAQ
 •  
 • Download Help
 •     eBook Readers
   
 • MS Reader 2.0
 •  
 • Acrobat Reader 4.0
 •  
  Partner's Zone

  register as a coworker
  Bookmark
     
  Copyright © 2001 - 2019 The New Life Mission. All Rights Reserved.