Search

キリスト教信仰に関するFAQ

主題1:水と御霊によって新しく生まれる

1-13. Ni ipi ilikuwa sadaka ya upatanisho wa dhambi za mwaka katika Agano la Kale?

Ilikuwa ni sadaka ya upatanisho kwa mwaka iliyo yenye thamani kwa Israeli yote kwa pamoja Kuhani Mkuu aliweka mikono yake juu ya kichwa cha mbuzi na kumtwika dhambi zote za mwaka za watu wote wa Israeli kwa mara moja (Walawi 16:1-34).
Yesu Kristo alikamilisha sadaka ya siku na ile ya mwaka mzima alipokuwa mwanakondoo wa Mungu aondoaye dhambi zote juu ya kichwa chake kwa ubatizo wake.