Wegens COVID-19 en verstoring van de internationale postdienst hebben wij onze 'Gratis Boekendienst' tijdelijk opgeschort.
In het licht van deze situatie kunnen we u de boeken momenteel niet opsturen.
Bid dat deze pandemie spoedig zal eindigen en dat de postdienst wordt hervat.
Onderwerp 1: Wedergeboren zijn uit het water en de Geest
1-2. Yesu ni Nani?
Kama ilivyo andikwa katika Mwanzo 1:3 na Yohana 1:1-3, Yeye ni Muumba, Mungu wa kweli, Mungu wa ulimwengu wote aliye okoa wenye dhambi toka dhambi za ulimwengu (Wafilipi 2:6, “ambaye yeye mwanzo alikuwa yu namna ya Mungu naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho,” John 1:2-3 “Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu, vyote vilifanyika kwa huyo, wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika”) Yesu ni Mungu Muumba, Bwana wa ulimwengu. Ingawa hivyo, watu wengi hushuhudiwa kuokolewa kwa kutoamini juu ya upendo na wokovu wa Yesu aliyeshuka ulimwenguni katika mwili. Lakini wengi wamepokea wokovu, na kuwa watu wa Mungu na kupata uzima wa milele kwa Yesu. Wamekuwa wenye haki.