Wegens COVID-19 en verstoring van de internationale postdienst hebben wij onze 'Gratis Boekendienst' tijdelijk opgeschort.
In het licht van deze situatie kunnen we u de boeken momenteel niet opsturen.
Bid dat deze pandemie spoedig zal eindigen en dat de postdienst wordt hervat.
Onderwerp 1: Wedergeboren zijn uit het water en de Geest
1-14. Sadaka ipi ilikuwa ni ya upatanisho wa milele?
Ilikuwa ni upatanisho wa dhambi za ulimwengu ni wa mara moja kwa kumwamini Yesu. Kwa kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu na Bwana aishiye milele, ataweza kubeba dhambi zote za ulimwengu milele. Ni kwa vipi alibeba dhambi zetu milele? Ni kwa namna hii: ① kwa kuzaliwa katika mwili wa kibinadamu. ② kwa kubatizwa na Yohana Mbatizaji – Yordani. ③ kwa kusulubiwa msalabani kubeba hukumu yote kwa niaba yetu. Mwana wa Mungu alikuja ulimwenguni katika mwili wa mwanadamu na kubatizwa ili kubeba dhambi zote za dunia kupitia Yohana Mbatizaji. Na pia alitoa damu yake msalabani kuokoa wanadamu kwa dhambi zao milele (Walawi 16:6-22, Mathayo 3:13-17, Yohana 1:29, Waebrania 9:12, 10:1-18).