Search

GRÁTIS: LIVROS IMPRESSOS,
eBOOK E AUDIO-BOOKS

O Evangelho da Água e do Espírito.

[Kiswahili-한국어] JE, UMEZALIWA UPYA KWELI KWA MAJI NA KWA ROHO? [Toleo Jipya Lililorekebishwa]-당신은 진정 물과 성령으로 거듭났습니까? [신개정판]
  • ISBN9791190468516
  • Páginas875

Swahili-Coreano 1

[Kiswahili-한국어] JE, UMEZALIWA UPYA KWELI KWA MAJI NA KWA ROHO? [Toleo Jipya Lililorekebishwa]-당신은 진정 물과 성령으로 거듭났습니까? [신개정판]

Rev. Paul C. Jong

YALIYOMO
 
Sehemu ya Kwanza — Mahubiri
1. Yatupasa Kwanza Kujua kuhusu Dhambi Zetu ili Kukombolewa (Marko 7:8-9, 20-23)
2. Wanadamu Huzaliwa Wakiwa ni Wenye Dhambi (Marko 7:20-23)
3. Ikiwa Tunafanya Mambo Kulingana na Law(Torati), Je, Inaweza Kutuokoa? (Luka 10:25-30) 
4. Ukombozi wa Milele (Yohana 8:1-12)
5. Ubatizo wa Yesu na Upatanisho wa Dhambi (Mathayo 3:13-17)
6. Yesu Kristo Alikuja kwa Maji, Damu, na Roho (1 Yohana 5:1-12)
7. Ubatizo wa Yesu Ni Ishara ya Wokovu Kwa Wenye Dhambi (1 Petro 3:20-22)
8. Injili ya Upatanisho Ulio Tele (Yohana 13:1-17)
 
Sehemu ya Pili — Nyongeza
1. Maelezo ya Ziada
2. Maswali na Majibu
 
(Swahili)
Somo kuu la kichwa hiki ni "kuzaliwa mara ya pili kwa Maji na Roho." Kina upekee kwenye mada hii. Kwa maneno mengine, kitabu hiki kinaeleza waziwazi maana ya kuzaliwa mara ya pili na jinsi ya kuzaliwa mara ya pili kwa maji na Roho kwa mujibu wa Biblia. Maji yanaashiria ubatizo wa Yesu katika Mto Yordani na Biblia inaeleza kuwa dhambi zetu zote zilipitishwa kwenda kwa Yesu wakati alipobatizwa na Yohana Mbatizaji. Yohana Mbatizaji alikuwa mwakilishi wa wanadamu wote na mzao wa Haruni, Kuhani Mkuu. Haruni aliweka mikono yake juu ya kichwa cha mbuzi wa Azazeli na kupitisha dhambi zote za mwaka za Waisraeli kwake katika Siku ya Upatanisho. Hii ilikuwa kivuli cha mambo mema yajayo. Ubatizo wa Yesu ni mfano wa kuweka mikono.
Yesu alibatizwa kwa njia ya kuwekwa mikono katika Yordani. Hivyo Yesu alizichukulia mbali dhambi zote za ulimwengu kupitia ubatizo Wake na akasulubiwa ili kulipa kwa ajili ya dhambi hizo. Lakini Wakristo wengi hawajui ni kwa nini Yesu alibatizwa na Yohana Mbatizaji katika Mto Yordani. Ubatizo wa Yesu ndio neno kuu la kitabu hiki na sehemu muhimu sana ya Injili ya Maji na Roho. Tunaweza kuzaliwa mara ya pili kwa kuamini tu ubatizo wa Yesu na Msalaba Wake.
 
(Korean)
이 책의 주요 주제는 "물과 성령으로 거듭남"입니다. 이 책은 이 주제에 대해 독창성을 가지고 있습니다. 즉, 이 책은 `거듭남`이 무엇이며 어떻게 하면 물과 성령으로 거듭날 수 있는지를 성경에 근거하여 명확하게 알려주고 있습니다. `물`은 예수님이 요단강에서 `세례`를 받으신 것을 상징하며, 성경은 `예수님이 세례 요한에게 세례를 받으실 때 우리의 모든 죄가 예수님께 전달되었다`고 말합니다. [마 3:13-17, 요 1:29]
세례요한은 모든 인류의 대표이자 대제사장 아론의 후손이었습니다. 구약에서 아론은 속죄일에 희생양의 머리에 손을 얹고 이스라엘 백성의 일 년 동안의 모든 죄를 그 희생양에게 전달했습니다. 이것은 장차 올 좋은 일의 그림자입니다. 예수님의 세례는 안수의 원형(표) 입니다. [벧전 3:21] 예수님은 요단강에서 안수의 형태로 세례를 받으셨습니다. 그래서 예수님은 세례를 통해 세상의 모든 죄를 짊어지시고 그 죄값을 치르기 위해 십자가에 못 박히셨습니다. 
그러나 대부분의 기독교인들은 예수님께서 왜 요단강에서 세례 요한에게 세례를 받았는지 알지 못합니다. `예수님의 세례`는 이 책의 핵심 키워드이자 물과 성령의 복음에서 필수적인 부분입니다. 우리는 예수님의 세례와 그분의 십자가, 즉 `물과 성령의 복음`을 믿어야만 진정으로 거듭날 수 있습니다.
 
 Next 
Swahili 2: Irudie Injili ya Maji na Roho
Irudie Injili ya Maji na Roho
 
Baixar eBook
PDF EPUB
Audio-Book
Audio-Book

Livros relacionados a esse título

The New Life Mission

Participe da nossa pesquisa

Como você ficou sabendo sobre nós?