Search

อีบุ๊กและหนังสือเสียงฟรี

ข่าวประเสริฐของน้ำและพระวิญญาณ

JE, UMEZALIWA UPYA KWELI KWA MAJI NA KWA ROHO? [Toleo Jipya Lililorekebishwa]

JE, UMEZALIWA UPYA KWELI KWA MAJI NA KWA ROHO? [Toleo Jipya Lililorekebishwa]

ผู้เขียน Rev. Paul C. Jong ISBN 9788928262151 หน้า 387
ภาษาสวาฮิลี 1

ดาวน์โหลดอีบุ๊กและหนังสือเสียงฟรี

คุณสามารถฟังหนังสือเสียงผ่านเครื่องเล่นด้านล่าง 🔻

📖 อ่านออนไลน์ตอนนี้
เป็นเจ้าของหนังสือฉบับพิมพ์

หนังสือเล่มมีจำหน่ายสำหรับการซื้อรายบุคคลบน Amazon (อีบุ๊ก Kindle ก็มีให้ดาวน์โหลดด้วย)

Somo kuu la kichwa hiki ni “kuzaliwa mara ya pili kwa Maji na Roho.”

Kina upekee kwenye mada hii. Kwa maneno mengine, kitabu hiki kinaeleza waziwazi maana ya kuzaliwa mara ya pili na jinsi ya kuzaliwa mara ya pili kwa maji na Roho kwa mujibu wa Biblia.

Maji yanaashiria ubatizo wa Yesu katika Mto Yordani na Biblia inaeleza kuwa dhambi zetu zote zilipitishwa kwenda kwa Yesu wakati alipobatizwa na Yohana Mbatizaji. Yohana Mbatizaji alikuwa mwakilishi wa wanadamu wote na mzao wa Haruni, Kuhani Mkuu. Haruni aliweka mikono yake juu ya kichwa cha mbuzi wa Azazeli na kupitisha dhambi zote za mwaka za Waisraeli kwake katika Siku ya Upatanisho. Hii ilikuwa kivuli cha mambo mema yajayo.

Ubatizo wa Yesu ni mfano wa kuweka mikono. Yesu alibatizwa kwa njia ya kuwekwa mikono katika Yordani. Hivyo Yesu alizichukulia mbali dhambi zote za ulimwengu kupitia ubatizo Wake na akasulubiwa ili kulipa kwa ajili ya dhambi hizo.

Lakini Wakristo wengi hawajui ni kwa nini Yesu alibatizwa na Yohana Mbatizaji katika Mto Yordani. Ubatizo wa Yesu ndio neno kuu la kitabu hiki na sehemu muhimu sana ya Injili ya Maji na Roho. Tunaweza kuzaliwa mara ya pili kwa kuamini tu ubatizo wa Yesu na Msalaba Wake.

YALIYOMO
  • 0. Dibaji
Sehemu ya Kwanza—Mahubiri
  • 1. Lazima Kwanza Tujue Dhambi Zetu ili Tukombolewe (Marko 7:8-9, 20-23)
  • 2. Binadamu huzaliwa wakiwa wenye dhambi (Marko 7:20-23)
  • 3. Tukifanya mambo kwa mujibu wa Torati, je, inaweza kutuokoa? (Luka 10:25-30)
  • 4. Ukombozi wa Milele (Yohana 8:1-12)
  • 5. Ubatizo wa Yesu na Upatanisho wa Dhambi (Mathayo 3:13-17)
  • 6. Yesu Kristo Alikuja kwa maji, kwa damu, na kwa Roho (1 Yohana 5:1-12)
  • 7. Ubatizo wa Yesu ni Uhalisia wa Wokovu kwa Wenye Dhambi (1 Petro 3:20-22)
  • 8. Injili ya Upatanisho Tele (Yohana 13:1-17)
Sehemu ya Pili—Nyongeza
  • 1. Shuhuda za Wokovu
  • 2. Maelezo ya Ziada
  • 3. Maswali na Majibu
เพิ่มเติม
เครื่องเล่นหนังสือเสียง