Search

مفت ای بُکس اور مفت آڈیو بُکس

پولُس رسول دا رومیوں دے نام خط

سواحلی 5

Haki ya God Inayofunuliwa Katika Kitabu cha Warumi - BWANA Wetu Aliyefanyika Kuwa Haki ya God (Ⅰ)

Rev. Paul C. Jong | ISBN 8983143045 | ورقے 373

ڈاؤن لوڈ کرو مفت ای-کتاباں تے آڈیو کتاباں

اپنی پسندیدہ فائل فارمیٹ چنو تے اپنے موبائل ڈیوائس، پی سی یا ٹیبلٹ تے محفوظ طریقے نال ڈاؤن لوڈ کرو تاں جو تسیں کدے وی، کتھے وی وعظاں دا مجموعہ پڑھ تے سن سکو۔ ساریاں ای-کتاباں تے آڈیو کتاباں بلکل مفت نیں۔

🔻تسیں تھلے دتے گئے پلیئر راہیں آڈیو کتاب سن سکدے او۔
پرنٹڈ کتاب دے مالک بنو
ایمیزون تے پرنٹڈ کتاب خریدو
YALIYOMO
 
Dibaji 

SURA YA 1
1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 1 
2. Haki ya God iliyo dhihirishwa katika Injili (Warumi 1:16-17) 
3. Mwenye haki ataishi kwa Imani (Warumi 1:17) 
4. Mwenye haki huishi kwa Imani (Warumi 1:17-18) 
5. Waipingao kweli kwa uovu (Warumi 1:18-25) 

SURA YA 2
1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 2 
2. Wale wenye kuidharau Neema ya God (Warumi 2:1-16) 
3. Tohara ni ya Moyo (Warumi 2:17-29) 

SURA YA 3
1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 3 
2. Wokovu toka dhambini ni kwa njia ya imani tu! (Warumi 3:1-31) 
3. Je, unamshukuru God kwa ajili ya Bwana? (Warumi 3:10-31) 

SURA YA 4
1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 4 
2. Wale wapokeao Baraka za Mbinguni kwa Imani (Warumi 4:1-8) 

SURA YA 5
1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 5 
2. Kwa njia ya Mtu Mmoja (Warumi 5:14) 

SURA YA 6
1. Utangulizi katika Kitabu cha Warumi Sura ya 6 
2. Maana halisi ya ubatizo wa Yesu (Warumi 6:1-8) 
3. Vitoeni viungo vyenu kuwa silaha za haki (Warumi 6:12-19) 
 
 
Injili ya maji na Roho ni haki ya God!
Maneno katika kitabu hiki yatatosheleza kiu ya moyo wako. Wakristo wa nyakati hizi wanaendelea kuishi pasipo kufahamu suluhisho halisi la dhambi za kila siku watendazo kila kukicha.
Je, unafahamu juu ya haki ya God? Nadhani utajiuliza mwenyewe juu ya swali hili na hatimaye kuamini juu ya haki ya God ambayo imedhihirishwa kupitia kitabu hiki.
Haki ya God imekuwa ikiandamana na Injili ya maji na Roho. Hata hivyo kama ilivyo hazina yenye thamani imekuwa ikifichwa mbali na macho ya wafuasi wa washika dini wengi kwa miongo kadhaa. Namatokeo yake watu wengi wamekuwa wakitegemea na kujigamba juu ya haki zao binafsi badala ya ile haki ya God. Kwa hiyo kanuni za Kikristo zisizo na maana zimetawala imani katika mioyo ya waumini wengi huku wakidhani kwamba ndizo zenye haki ya God.
Kanuni za kuchaguliwa toka asili, kuhesabiwa haki na utakaso wa awamu kwa viwango, ni mojawapo ya kanuni kuu za mafundisho ya wakristo ambayo yameleta tafrani za kimawazo na utupu ndani ya nafsi za waumini.
Lakini sasa, wakristo wengi imewapasa kurudi na kuelewa upya juu ya God, kujifunza juu ya haki yake na hatimaye kuendelea na imani iliyo na uhakika.
"Bwana wetu aliye haki ya God" atakupatia nafsi yako uelewa mkuu na kukuongoza katika amani. Mwandishi anapenda uhodhi baraka ya kuifahamu haki ya God.
Baraka ya God iwe nanyi.
ھور
مفت چپھیاں ھوئیاں کتاباں
ایس چھپی ہوئی کتاب نوں ٹوکری وچ پاؤ

اِس عنوان سے متعلقہ کتابیں

The New Life Mission

ساڈے سروے وچ حصہ پاؤ

تہانوں ساڈے بارے کنج پتہ چلیا؟