Search

免費電子書和有聲讀物

約翰一書

斯瓦希裏語 15

Mfululizo wa Paul C. Jong Juu ya Ukuaji wa Kiroho Kitabu cha 4 - Waraka wa Kwanza wa Yohana (Ⅱ)

Rev. Paul C. Jong | ISBN 9788928239177 | 頁碼 383

下載免費電子書和有聲讀物

選擇您喜歡的文件格式,安全下載到手機、電腦或平板電腦,隨時隨地閱讀和收聽講道集。所有電子書和有聲讀物都完全免費。

您可以通過下方播放器收聽有聲讀物。🔻
擁有平裝書
在亞馬遜購買平裝書
Yaliyomo
 
Dibaji 

SURA YA 3
1. God Wetu Aliyekuja Kwetu Kwa Upendo wa Agape (1 Yohana 3:1-8) 
2. Ni Aina Ipi ya Dhambi Ambayo Hatupaswi Kuitenda 
3. Mbele za God? (1 Yohana 3:9-16) 
4. Yeye Anayezishika Amri za God Anakaa Ndani Yake (1 Yohana 3:17-24) 

SURA YA 4
1. Zijaribuni Roho Ikiwa Zinatokana na God (1 Yohana 4:1-6) 
2. Kuanzia Sasa na Kuendelea Tunapaswa Kuishi Vipi? (1 Yohana 4:7-13) 
3. Tunapaswa Kukaa Katika Upendo wa God (1 Yohana 4:16-21) 

SURA YA 5
1. Ni Ukweli Upi Unaotuweka Huru Toka Katika Dhambi Zetu Zote? (1 Yohana 5:1-4) 
2. Ni Nani Aliyezaliwa na God? (1 Yohana 5:4-8) 
3. Je, Tunaamini Nini? (1 Yohana 5:1-11) 
4. Ni Ukweli Upi Uliotukomboa Toka Katika Dhambi Zetu Zote? (1 Yohana 5:1-12) 
5. Ushahidi Thabiti Unaotuokoa Toka Katika Dhambi Zetu Zote (1 Yohana 5:8-13) 
6. Kama Ndugu Anafanya Dhambi Isiyoleteleza Mauti, Mwombe God Autunze Uhai Wake (1 Yohana 5:16-19) 
7. Yesu Ni God wa Kweli na Uzima wa Milele (1 Yohana 5:20) 
8. Ingawa Tunaweza Kuwa na Mapungufu Wakati Wote, Upendo wa God Mkamilifu Umetukomboa Toka Katika Dhambi za Ulimwengu (1 Yohana 5:1-21) 
 
 
Kama wewe ni Mkristo wa kweli, basi unapaswa kuufahamu upendo wa God kwa uhalisia kuliko kuufahamu kwa nadharia tu. Wale wanaomfahamu na kumwamini Yesu kuwa ni Mwokozi wao ni lazima waufahamu upendo wa God kwa uthabiti hasa kuhusiana na ondoleo la dhambi zao ambalo lilitimizwa kupitia Neno la injili ya maji na Roho. Ili tuweze kuufahamu upendo wa God kwa kina basi tunapaswa kuwa waamini tunaoamini katika injili hii ya kweli. Upendo wa God unajidhihirisha kwa kina na kwa uthabiti katika injili hii ya kweli. Kama tutaufahamu upendo wa God, basi ufahamu wetuni lazima utokane na upendo thabiti wa God kwetu sisi ambao umefunuliwa katika Ukweli wa injili ya maji na Roho. Ni hapo ndipo tunapoweza kuwaongoza wengine kuuendea upendo wa kweli wa God.
Mtume Yohana anashuhudia kuwa Yesu Kristo, aliyekuja kwa maji, kwa damu, na kwa Roho Mtakatifu, ni God Mwokozi mwenyewe. Kiini cha ushuhuda wake ni ule Ukweli wa ondoleo la dhambi, ambao unapatikana katika maji, damu, na Roho Mtakatifu.
Kama ilivyoandikwa katika Neno la God, maji yana maanisha ni ubatizo wa Yesu alioupokea toka kwa Yohana Mbatizaji, na damu ina maanisha ni hukumu ambayo Yesu aliipokea kwa ajili ya dhambi zetu zote. Pia, ushahidi wa wokovu wetu unajikita katika Roho Mtakatifu, maji, na damu (1 Yohana 5:8). Huduma za maji, damu, na Roho Mtakatifu ni za God na ambazo kwa hizo amewakomboa wenye dhambi toka katika dhambi zao zote.
更多

與該標題相關的書籍

The New Life Mission

參加我們的調查

您是如何得知我們的?