Search

免费电子书和有声读物

马太福音

斯瓦希里语 12

MAHUBIRI KATIKA INJILI YA MATHAYO (Ⅰ) - NI LINI MKRISTO ANAWEZA KUWA NA MAZUNGUMZO YA KARIBU NA BWANA?

Rev. Paul C. Jong | ISBN 8983148810 | 页码 388

下载免费电子书和有声读物

选择您喜欢的文件格式,安全下载到手机、电脑或平板电脑,随时随地阅读和收听讲道集。所有电子书和有声读物都完全免费。

您可以通过下方播放器收听有声读物。🔻
拥有平装书
在亚马逊购买平装书
YALIYOMO
 
Dibaji 

SURA YA 1
1. Ukoo wa Yesu Kristo (Mathayo 1:1-6) 
2. Hebu Tumshukuru Bwana Wetu Yesu Aliyekuja Kutuokoa (Mathayo 1:18-25) 
3. Yesu Aliyetungwa Mimba Kwa Uwezo wa Roho Mtakatifu (Mathayo 1:18-25) 

SURA YA 2
1. Ni Wapi Tunapoweza Kukutana na Bwana Kwa Usahihi? (Mathayo 2:1-12) 

SURA YA 3
1. Ieneza Injili ya Kweli Na Matendo ya Haki ya Yesu (Mathayo 3:1-17) 
2. Yesu Aliyekuja Ili Kuzitoweshea Mbali Dhambi Zako (Mathayo 3:13-17) 

SURA YA 4
1. Kumwogopa God na Kumtumikia God ni Baraka (Mathayo 4:1-11) 

SURA YA 5
1. Hotuba Mlimani (Mathayo 5:1-16) 

SURA YA 6
1. Fundisho la Bwana Juu ya Maombi (1) (Mathayo 6:1-15) 
2. Fundisho la Bwana Juu ya Maombi (2) (Mathayo 6:5-15) 
3. Ishi Kwa Moyo Wako Wote Katika Bwana (Mathayo 6:21-23) 
4. Usihofu Kuhusu Maisha Yako, Bali Mwamini God Peke Yake (Mathayo 6:25-34) 
5. Yatosha Kwa Siku Maovu Yake (Mathayo 6:34) 

SURA YA 7
1. Ni Lazima Tuingie Kwa Kupitia Mlango Mwembamba Kwa Kuamini Katika Nguvu ya Injili (Mathayo 7:13-14) 
2. Tutafanya Nini Ikiwa Tutaachwa na Bwana Siku ya Mwisho? (Mathayo 7:21-23) 
3. Imani Inayoweza Kuyafanya Mapenzi ya God Baba (Mathayo 7:20-27) 
4. Tunaweza Kuingia Mbinguni Pale Tu Tunapoyafahamu Mapenzi ya Baba Na Kuyaamini (Mathayo 7:21-27) 
5. Jihadharini na Manabii wa Uongo Ambao Lengo Lao ni Kupata Fedha Zenu Tu (Mathayo 7:13-27) 

SURA YA 8
1. Uponyaji wa Wakoma wa Kiroho (Mathayo 8:1-4) 
2. “Sema Neno Tu” (Mathayo 8:5-10) 
3. Kwanza Mfuate Bwana (Mathayo 8:18-22) 
 
 
Mtume Mathayo anatueleza kuwa Neno la Yesu lilielezwa kwa kila mtu katika ulimwengu huu, hii ni kwa sababu Mathayo alimwona Yesu kuwa ni Mfalme wa wafalme. Kwa sasa, Wakristo katika ulimwengu mzima ambao wamezaliwa tena upya kwa kuamini katika injili ya maji na Roho wanatamani sana kuula mkate wa uzima. Lakini ni vigumu kwa wao kuwa na ushirikiano nasi katika injili ya kweli, kwa sababu wapo mbali sana na sisi. Kwa hiyo ili kutimiza mahitaji ya kiroho ya watu hawa wa Yesu Kristo, Mfalme wa wafalme, basi mahubiri katika kitabu hiki yameandaliwa kama mkate mpya wa uzima ili kuboresha ukuaji wao wa kiroho. Mwandishi anatangaza kuwa wale waliokwishapokea ondoleo la dhambi zao kwa kuamini katika Neno la Yesu Kristo, Mfalme wa wafalme, ni lazima wajilishe Neno lake halisi ili waweze kuilinda imani yao na kuyaimarisha maisha yao ya kiroho. Kitabu hiki kitawapatia mkate wa kweli wa uzima kwenu nyote ambao mmefanyika kuwa watu wa ufalme wa Mfalme kwa imani. Kwa kupitia Kanisa na watumishi wake, God ataendelea kukupatia mkate huu wa uzima. Baraka za God na ziwe juu yao wale wote waliozaliwa upya kwa maji na kwa Roho, na ambao wanatamani kuwa na ushirika wa kweli wa kiroho pamoja nasi katika Yesu Kristo.
更多

与该标题相关的书籍

The New Life Mission

参加我们的调查

您是如何了解到我们的?