Search

关于基督教信仰的常见问题解答

话题1:重生于水和圣灵

1-12. Ni ipi ilikuwa sadaka ya upatanisho wa dhambi za kila siku katika Agano la Kale?

Palikuwa na sadaka ya upatanisho wa dhambi za kila siku. Ili kuweza kupatanishwa kwa dhambi za kila siku, ilipasa mtu alete kati ya kondoo dume, kondoo jike, ng’ombe dume au njiwa mbele ya hema na kumwekea mikono juu yake ili kumtwika dhambi. Hii ilikuwa sadaka ya upatanisho iliyo amriwa kwa Sheria ya Mungu (Walawi 3:1-11)