Search

关于基督教信仰的常见问题解答

话题1:重生于水和圣灵

1-20. Lipi ni Kanisa la kweli la Mungu?

Kanisa la kweli la Mungu ni pale wenye haki, wale walio kombolewa na kutakaswa katika Kristo kwa kuamini ubatizo na damu ya Yesu, wanapo kusanyika na kumwabudu Mungu (1 Wakorintho 1:2). Kanisa la kweli la Mungu, kama ilivyoandikwa katika Waefeso 4:5 ni mahala ambapo washirika huamini katika “Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja; Mungu mmoja na Bwana wa wote.”