Search

LIVRES, eBOOK,
ET LIVRES AUDIO GRATUITS

Le Tabernacle

Swahili 10

HEMA TAKATIFU LA KUKUTANIA: Taswira ya Wazi na ya Kina ya Yesu Kristo (Ⅱ)

Rev. Paul C. Jong | ISBN 8983145706 | Pages 427

Téléchargez des livres numériques et livres audio GRATUITS

Choisissez votre format de fichier préféré et téléchargez-le en toute sécurité sur votre appareil mobile, PC ou tablette pour lire et écouter les collections de sermons n'importe quand et n'importe où. Tous les livres numériques et livres audio sont entièrement gratuits.

Vous pouvez écouter le livre audio via le lecteur ci-dessous. 🔻
Possédez un livre broché
Téléchargement gratuit de livres audio
YALIYOMO 
 
Dibaji 
1. Sisi Hatumo Miongoni Mwao Wanaosita na Kupotea kwa Sababu ya Dhambi Zetu (Yohana 13:1-11) 
2. Kisitiri na Nguzo za Mahali Patakatifu (Kutoka 26:31-37) 
3. Wale Wanaoweza Kupaingia Patakatifu pa Patakatifu (Kutoka 26:31-33) 
4. Pazia Ambalo Lilipasuliwa (Mathayo 27:50-53) 
5. Vitako Viwili vya Fedha na Ndimi Mbili kwa Kila Ubao wa Hema Takatifu la Kukutania (Kutoka 26:15-37) 
6. Mafumbo ya Kiroho Yaliyofichwa Katika Sanduku la Ushuhuda (Kutoka 25:10-22) 
7. Sadaka ya Ondoleo la Dhambi Inayotolewa Katika Kiti cha Rehema (Kutoka 25:10-22) 
8. Meza ya Mikate ya Wonyesho (Kutoka 37:10-16) 
9. Kinara cha Taa cha Dhahabu (Kutoka 25:31-40) 
10. Madhabahu ya Uvumba (Kutoka 30:1-10) 
11. Kuhani Mkuu Aliyetoa Sadaka ya Siku ya Upatanisho (Mambo ya Walawi 16:1-34) 
12. Mafumbo Manne Yaliyofichika Katika Mapaa ya Hema Takatifu la Kukutania (Kutoka 26:1-14) 
13. Uhakiki wa Wasomaji 
 
 
Je, tunawezaje kuupata ukweli uliofichika katika Hema Takatifu la Kukutania? Ni kwa kuifahamu injili ya Maji na Roho tu, ambayo ni kiini cha kweli cha Hema Takatifu la Kukutania, ndipo tunapoweza kufahamu kwa usahihi jibu la swali hili.
Kwa kweli, nyuzi za bluu, zambarau, na nyekundu, na kitani safi ya kusokotwa kama zilivyodhihirishwa katika lango la ua wa Hema Takatifu la Kukutania zinatuonyesha kazi za Yesu Kristo katika kipindi cha Agano Jipya ambazo zimemuokoa mwanadamu. Kwa njia hii, Neno la Agano la Kale la Hema Takatifu la Kukutania na Neno la Agano Jipya yanahusiana kwa karibu sana kama vile ilivyo kwa nyuzi za kitani safi ya kusokotwa. Lakini, kwa bahati mbaya ukweli huu umefichwa kwa muda mrefu kwa kila mtafuta ukweli katika Ukristo.
Alipokuja hapa duniani, Yesu Kristo alibatizwa na Yohana Mbatizaji na akamwaga damu yake katika Msalaba. Bila ya kuifahamu na kuiamini injili ya maji na Roho, hakuna kati yetu anayeweza kamwe kupata ukweli uliofunuliwa katika Hema Takatifu la Kukutania. Hivyo ni lazima tujifunze na kuuamini ukweli huu wa Hema Takatifu la Kukutania. Sisi sote tunahitaji kutambua na kuamini juu ya ukweli uliodhihirishwa katika nyuzi za bluu, zambarau, na nyekundu, na kitani safi ya kusokotwa za lango la ua wa Hema Takatifu la Kukutania.
Plus
Livre imprimé gratuity
Ajouter des livres au Panier.

Livres liés à ce titre

The New Life Mission

Participez à notre enquête

Comment avez-vous entendu parler de nous ?