Search

मसीही विश्वास पर पूछे गए ज्यादातर प्रश्न

विषय १: पानी और आत्मा से नया जन्म पाना

1-2. Yesu ni Nani?

Kama ilivyo andikwa katika Mwanzo 1:3 na Yohana 1:1-3, Yeye ni Muumba, Mungu wa kweli, Mungu wa ulimwengu wote aliye okoa wenye dhambi toka dhambi za ulimwengu (Wafilipi 2:6, “ambaye yeye mwanzo alikuwa yu namna ya Mungu naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho,” John 1:2-3 “Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu, vyote vilifanyika kwa huyo, wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika”) Yesu ni Mungu Muumba, Bwana wa ulimwengu.
Ingawa hivyo, watu wengi hushuhudiwa kuokolewa kwa kutoamini juu ya upendo na wokovu wa Yesu aliyeshuka ulimwenguni katika mwili. Lakini wengi wamepokea wokovu, na kuwa watu wa Mungu na kupata uzima wa milele kwa Yesu. Wamekuwa wenye haki.