Search

مُفت چھپی ہوئی کتابیں،
برقی کتابیں اور آڈیو کتابیں

پانی اور رُوح کی خوشخبری

سواحلی 1

JE, UMEZALIWA UPYA KWELI KWA MAJI NA KWA ROHO? [Toleo Jipya Lililorekebishwa]

Rev. Paul C. Jong | ISBN 9788928261505 | صفحات 378

ڈاؤن لوڈ کریں مفت ای بکس اور آڈیو بکس

اپنی پسندیدہ فائل فارمیٹ منتخب کریں اور اپنے موبائل ڈیوائس، پی سی یا ٹیبلٹ پر محفوظ طریقے سے ڈاؤن لوڈ کریں تاکہ آپ کہیں بھی، کبھی بھی خطبات کا مجموعہ پڑھ اور سن سکیں۔ تمام ای بکس اور آڈیو بکس بالکل مفت ہیں۔

🔻آپ نیچے دیئے گئے پلیئر کے ذریعے آڈیو بک سن سکتے ہیں۔
پرنٹڈ کتاب کے مالک بنیں
ایمیزون پر پرنٹڈ کتاب خریدیں
YALIYOMO
 
Dibaji
Sehemu ya Kwanza—Mahubiri
1. Yatupasa Kwanza Kujua kuhusu Dhambi Zetu ili Kukombolewa (Marko 7:8-9, 20-23) — 19
2. Wanadamu Huzaliwa Wakiwa ni Wenye Dhambi (Marko 7:20-23) — 37
3. Ikiwa Tunafanya Mambo Kulingana na Law(Torati), Je, Inaweza Kutuokoa? (Luka 10:25-30) — 51
4. Ukombozi wa Milele (Yohana 8:1-12) — 75
5. Ubatizo wa Yesu na Upatanisho wa Dhambi (Mathayo 3:13-17) — 109
6. Yesu Kristo Alikuja kwa Maji, Damu, na Roho (1 Yohana 5:1-12) — 161
7. Ubatizo wa Yesu Ni Ishara ya Wokovu Kwa Wenye Dhambi (1 Petro 3:20-22) — 199
8. Injili ya Upatanisho Ulio Tele (Yohana 13:1-17) — 219
 
Sehemu ya Pili—Nyongeza
1. Shuhuda za Wokovu — 289
2. Maelezo ya Ziada — 309
3. Maswali na Majibu — 343
 
 
Somo kuu la kichwa hiki ni "kuzaliwa mara ya pili kwa Maji na Roho." Kina upekee kwenye mada hii. Kwa maneno mengine, kitabu hiki kinaeleza waziwazi maana ya kuzaliwa mara ya pili na jinsi ya kuzaliwa mara ya pili kwa maji na Roho kwa mujibu wa Biblia. Maji yanaashiria ubatizo wa Yesu katika Mto Yordani na Biblia inaeleza kuwa dhambi zetu zote zilipitishwa kwenda kwa Yesu wakati alipobatizwa na Yohana Mbatizaji. Yohana Mbatizaji alikuwa mwakilishi wa wanadamu wote na mzao wa Haruni, Kuhani Mkuu. Haruni aliweka mikono yake juu ya kichwa cha mbuzi wa Azazeli na kupitisha dhambi zote za mwaka za Waisraeli kwake katika Siku ya Upatanisho. Hii ilikuwa kivuli cha mambo mema yajayo. Ubatizo wa Yesu ni mfano wa kuweka mikono.
Yesu alibatizwa kwa njia ya kuwekwa mikono katika Yordani. Hivyo Yesu alizichukulia mbali dhambi zote za ulimwengu kupitia ubatizo Wake na akasulubiwa ili kulipa kwa ajili ya dhambi hizo. Lakini Wakristo wengi hawajui ni kwa nini Yesu alibatizwa na Yohana Mbatizaji katika Mto Yordani. Ubatizo wa Yesu ndio neno kuu la kitabu hiki na sehemu muhimu sana ya Injili ya Maji na Roho. Tunaweza kuzaliwa mara ya pili kwa kuamini tu ubatizo wa Yesu na Msalaba Wake.
مزید

ایس سرناویں نال رلدیاں ملدیاں کتاباں

The New Life Mission

ہمارے سروے میں حصہ ڈالیں

آپ کو ہمارے بارے میں کیسے معلوم ہوا؟